Mpondwe FM ni radio ya jamii iliyoko Mpondwe-Bwera, Kasese. Inalenga kuburudisha, kuelimisha na kutoa habari kwa jamii. Inatangaza kwa lugha mbalimbali ikiwemo Kiswahili, English, Lukonzo, Rutoro, Runyankole na Luganda.